Tuesday, June 18, 2013

(Photo) LOVE ME Video coming soon "IZZO B"

(Photo) Launch of MY BABY by QUICK ROCKA June 21st @ AMBASSADORS LOUNGE

(Video) January Eleven ft. Aunt Ezekiel - Movie Star

(Video) Hizi ni video clip za mwisho ambazo MANGWEAR aliifanya South Afrika.

Hizi ni video clip za mwisho ambazo MANGWEAR aliifanya South Afrika na alishirikishwa na Mtanzania mwenzake ambae ndio mwenye video anaitwa Mossred aliamua kutoa baadhi ya vipande kwa millardayo.com

(Audio) Dream - Furaha ya leo

(Audio) Spince Seseme - Roho zinawauma

(Audio) Kimbunga ft Kala Jeremiah - Salamu

(Photo) "USIKU WA TUDD THOMAS" Juni 30, 2013


(News) TAARIFA YA MSIBA

MAREHEMU MWL. PHILIP NHIGULA
(1927-2013)

FAMILIA YA MAREHEMU MWALIMU. PHILIP NHIGULA WA MALYA MWANZA WANASIKITIKA KUONDOKEWA KWA BABA YAO MPENZI MWALIMU PHILIP NHIGULA (86) ALIYEFARIKI TAREHE 17/06/2013 SAA SABA MCHANA HOSIPITALI YA TAIFA MUHIMBILI AMBAKO MWILI UMEHIFADHIWA.


SHUGHULI ZOTE ZA MIPANGO YA MAZISHI ZINAFANYIKA KIJITONYAMA, DAR ES SALAAM NYUMBANI KWA MTOTO WA MAREHEMU MRS. SAYAYI. MAZISHI YATAFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 22/06/2013 MAKABURI YA KINONDONI.

TAARIFA ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.

(Audio) Mwanadada P Culture ft JCB - Life Can Be

Ni mkono wa Umbwa aka Chindo Man from Watengwa Family na Vocals zikiwa chini ya Defxtro wa Noizmekah Productions na Humu wanapita Sister P-Culture na JCB. Ngoma inakwenda kwa Jina Life Can Be,ni inspirational hiphop joint yenye mistari ya kuelimisha jamii, Pata kuusikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania, kwa mawasiliano zaidi na Mwanadada P-Culture chek naye kupitia nambari +255 782 123 700 powered by www.vmgafrica.com

(News) Vodacom yapanua wigo huduma na ajira kwa Watanzania

Vodacom Tanzania Head of Key Accounts and Franchise, Upendo Richard (right) hands over keys to Miriam Minja, the Manager of Vodacom Shop at Millennium Towers, Dar es Salaam, during the official opening of the shop. Looking on is Vodacom Tanzania Head of Corporate Communications, Joseline Kamuhanda.
Mkuu wa Idara ya Mauzo na Maduka wa Vodacom Tanzania, Bi.Upendo Richard(kulia)akimkabidhi funguo  Meneja wa duka jipya la Vodacom lililopo Millennium Tower ghorofa ya kwanza Bi.Miriam Minja,ikiwa ni inshara ya uzinduzi rasmi wa duka hilo.Anaeshuhudia ni Mkuu wa kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo Bi.Joseline Kamuhanda. 

(Official Music Video) Feza Kessy - Amani Ya Moyo

Monday, June 17, 2013

(Video) AY Tanzanian Finest Interview at BBC World News

(Official Music Video) Various Artists -- " GOODBYE LANGA "

A tribute music video I did for my late friend Langa. Featured Varios Artists. I did finish the music video for a total of 16 hours. ( 4 hours of shooting plus 12 consecutive hours of editing...)

Artist : Various Artists
Track : Goodye
Prod. : Christon/NK productios
Filmed,  Edited & Directed By Jerry Mushala

(Photo's) DC Kipozi ataka watoto walindwe

(Photo) Redds Miss Mwanza 2013/14 ni Lucy Charles

Kinyanganyiro cha kumtafuta mnyange wa mkoa wa Mwanza kwa mwaka 2013, kiliteguliwa usiku wa ijumaa baada ya Mrembo Lucy Charles msomi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino, kuwabwaga warembo wengine 13 waliojitokeza.
Nyota ya mrembo huyo ilianza kuonekana mapema, katika mavazi yote aliyovaa, lakini zaidi aliwapagawisha mashabiki wa urembo waliofurika katika ukumbi wa Yatch club baada ya kujibu swali kwa ustadi lililouliza Ni changamoto ipi kubwa walionayo vijana wa leo.
Mshindi wa pili katika shindano hilo ni Judith Josephat na mshindi wa tatu ni Suzan Ikombe.
Washindi hao watawakilisha mkoa wa mwanza katika shindano la kanda mwishoni mwa mwezi huu.

(Audio) Shebby Love - Tofauti na jana

(Photo's) LIVE kutoka makaburi ya Kinondoni kwenye mazishi ya #LangaKileo

(Photo's) LIVE kutoka Mikocheni kwenye msiba wa LANGA KILEO

Saturday, June 15, 2013

(Photo) Njoo uwashuhudie JAMBO SQUAD watoto wa KICHUGACHUGA wakidondosha show uwanja wa SHEIKH AMRI ABEID

VITAMBI VIDEO - KENRAZY ft. Hon. UHURU KENYATTA

(Video) Lady JayDee akisherehekea siku yake yakuzaliwa kwenye show yake ya miaka 13 ndani ya Nyumbani Lounge

(Video) Mr II Sugu akiingia kwenye jukwaa la Machozi Band kwenye show ya miaka 13 ya Lady JayDEE

(Video) Lady JayDEE akifungua show ya miaka 13 toka ameanza game la bongo fleva @ Nyumbani Lounge

(Photo's) Yaliyojiri jana kwenye show ya miaka 13 ya LADY JAYDEE @ Nyumbani Lounge

Wakazi kwa steji akiwarusha mashabiki wake vilivyo 

Grace Matata kwa steji 

Mwanadada Jide akiwa ameweka style ya Anaconda, ulipenda kweli kweli dada yangu

(Photo) Ajali ya pikipiki Mbezi kwa Yusuph

Hii ajali imetokea sasa hivi hapa Mbezi kwa Yusuph huyu dereva mwenye gari alikuwa anakunja kuingia upande wa pili ndipo alipokutana na pikipiki iliyokuwa speed. Dereva wa pikipiki amepata majereha mwilini mwake

(Photo's) Show ya LADY JAY DEE ndio HABARI YA MJINI usiku wakuamkia leo




Friday, June 14, 2013

(Photo's) SHOW YA LADY JAYDEE YAWA GUMZO USIKU HUU.

Mda huu huwezi amini kuna bonge moja la foleni hapa Nyumbani Lounge kuanzia sehemu yakuegesha magari hadi watu wanaotaka kuingia ndani, sisemi sana wee endelea kutizama hizi picha 

(Photo's) LIVE kutoka NYUMBANI LOUNGE kwenye RED CARPET

(Photo's) NILICHOKUTANA NACHO BARABARANI JIONI HII.

(Video) Maandalizi ya Show ya Lady Jay Dee yapamba moto

(News) INTRODUCING GREEN GENERATION SOLAR POWER WEBSITE

Our main agenda is not only to make profit, but also want to achive this by joining the struggle angainst climate change. Sustainable energy supply is the biggest chalange which developing countries faces - Monty Mahembe
Kwa maelezo zaidi bofya  hapa -www.greensolar.se

(Photo's) LIVE kutoka NYUMBANI LOUNGE.

Video ya kwanza iliyomtoa marehemu LANGA ndio hii "MATAWI YA JUU"

(Photo's) LIVE kutoka Mikocheni nyumbani kwa marehemu LANGA KILEO

Hapa ndipo alipokuwa analelewa Langa kwa wazazi wake baba na mama na hizi picha ni wasanii wakifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari kutoka Star TV na EATV. Picha ya juu ni Kalapina na picha za chini ni Kala Jeremiah

(News) WORKSHOP PARTICIPANTS ANNOUNCED AT ZIFF 2013


ZIFF today announced a list of all selected participants to the 3 main
Workshops on film to be held during ZIFF 2013.

We congratulate the selected participants and further information will
be communicated to then in due time.

http://www.ziff.or.tz/news/workshop-participants-selected

Script Writing Workshop: (SPONSORED)

1.      Philbert Aime Mbabazi – Rwanda

2.      Jean Kwezi – Rwanda

3.      Denis Kimathi – Kenya

4.      Gabriel Kami – Tanzania

5.      Christine Awor – Uganda

(TO SELF SPONSOR)

6.      Joan Kabugu – Kenya

7.      Zaka Riwa – Tanzania

8.      Haidary Yahaya – Tanzania/Zanzibar

9.      Irene Sanga – Tanzania

10.  Fadhili Mfate - Tanzania



Film Production Workshop: (TO SELF SPONSOR)

1.      John Kallage – Tanzania

2.      Abdallah Mambia – Tanzania

3.      Protas Pius Rubaba – Tanzania

4.      Joseph Mpangala – Tanzania

5.      Ally Othman – Tanzania/Zanzibar

6.      Iddi Haji – Tanzania/Zanzibar

7.      Yusuph Kisoki – Tanzania/Zanzibar



The Assistant Director Workshop: (TANZANIANS-SELF SPONSOR)

1.      Edwin Mallya

2.      Amir Shivji

3.      Nasser Mkugwa

4.      Issa Mohamed

5.      Biubwa Kombo

6.      Elly Omukubi (Kenya)

7.      Grace Cleti

8.      Richard Magumba

9.      Daniel Manege

10.  Walter Elia

(News) CHAMA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA (TUMA)

CHAMA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA (TUMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   14-6-2013
Chama cha muziki wa kizazi kipya Tanzania (TUMA) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa msanii mahiri wa Hip Hop nchini marehemu Langa Kileo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye vyombo vya habari,marehemu Langa Kileo alifariki siku ya jana jioni katikia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipopelekwa kwa ajili ya matibabu.
Tasnia ya muziki nchini imepata pigo lingine tena kwani ni takribani muda wa wiki 2 tokea msanii mwingine mahiri Albert Mangweha afariki Dunia akiwa nchini Afrika Kusini na kuzikwa  katika makaburi ya Kihonda yaliyopo Mkoani Morogoro.
Tunapenda kutoa wito kwa wasanii wote nchini kujitokeza kwa wingi na kuonyesha upendo pamoja na kutoa ushirikiano katika kipindi hiki kugumu cha msiba wa msanii mwenzetu Langa Kileo.
Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu,ndugu,jamaa,marafiki na mashabiki wote wa muziki nchini na kuahidi kutoa ushirikiano katika wakati huu mgumu kwetu sote.
Tunaamini tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi,Mungu ampumzishe kwa amani marehemu Langa Kileo.
Amin.
Fredrick Gerson Mariki
Mwenyekiti wa TUMA (TANZANIA URBAN MUSIC ASSOCIATION)

(News) Ratiba ya mazishi ya LANGA KILEO

Ratiba ya mazishi ya ndugu yetu Langa Kileo itakuwa kama ifuatavyo, msiba upo nyumbani kwa wazazi wa Langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hosp ya AAR  zamani kulikuwa na ofisi za Benchmark Production. Mwili wa marehemu utaagwa siku ya Jumatatu majira ya saa 7 mchana na baada ya hapo mwili utaelekea makaburi ya Kinondoni kwa mazishi majira ya saa kumi alasiri.

Thursday, June 13, 2013

(Audio) Q. Chilla - Beautiful

(Audio) G LUCK FT JOHN LOVE - UULIZE MOYO

(Audio) Mchina wa Bongo - Virus

(Photo) NISHER the Master-Mind behind "JIKUBALI" music interview with Fresh 120 Blog

Hii ni exclusive interview imefanywa toka Fresh120 Media , Nisher ameamua kufunguka na kuamua kuzungumzia juu ya utengenezaji wake wa video kuanzia mfumo mzima wa utengenezaji , matayarisho na pia Idea kubwa ya yeye kufika hapo alipo sasa,
Pia Nisher amewezakuzungumzia juu ya comments ambazo zimekuwa changamoto kwake , amechambua kwanini ana mfumo wake wa kipekee katika utengenezaji wa Video . Pata kusikia Mahojiano Toka kwa Nisher na Mdau wa Fresh120Media

(Audio) FredLou Toka Majerui TLST

Kwa wanaokumbuka ngoma yao TLST Crew "Fanya fasta" ilorekodiwa Kwa Pfunk Bongo Records bila shaka jina Fred Lou sio geni masikioni na Mc huyu Toka Majerui TLST anadrop ngoma yake mpya kabisa toka pande za Noizmekah,Dude linakwenda kwa jina 'ON PEAK" ikiwa ni Hiphop Joint.Pata Kuisikiliza HAPA na endelea kusupport Muziki wa Tanzania. Powered by www.vmgafrica.com

(Audio) WillyFololo & GhettoGrade

GhettoGrade anaewakilisha Best Reggae Group of the year Kupitia KTMA pamoja na WillyFololo wamedrop pande za noizmekah Studios kurecord pini lao jipya la muundo wa Afropop itakayokuwepo katika joint project itakayotoka hivi karibuni, Mbali na goma hili waloipa jina "LEO" WillyFololo amezungumzia Video yake ya "BIG UP URSELF" itakayotoka karibuni, Download ngoma hiyo huku tunasubiri video HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi check na WillyFololo kupitia +255 656 477 793 .powered by www,vmgafrica.com

(News) Taarifa kutoka kwa baba mzazi wa marehemu LANGA KILEO

 Baba wa marehemu Mzee Kileo amesema kuwa mtoto wake Langa kwenye picha amefariki dunia leo majira ya saa 10 katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Taarifa kamili na mipango ya mazishi zitatolewa pale vikao vya familia vitakapofanywa. Pia baba yake alisema msiba huu umetokea wakati mama yake Langa hayupo Tanzania,alisema kwa sasa mama yake Langa yupo Marekani lakini baada ya kupewa taarifa hizo tayari ameshakata tiketi ya kurudi Tanzania na ataanza safari kesho.Msiba uko nyumbani kwao maeneo ya Mikocheni
#RIP Aarif!